Yamoyoni
Join

Mhh uongo dhambi jamani, lakini shemeji mtamu

yani bora huku mtu unajiachia huonekani, maana watu tuna vitu jamani... yani huu mkasa wangu huu jamani, aibu naona mimi lakini nitafanyaje. ngoja niwaambie lakini.

yani mimi ni nimeolewa vizuri, na nimeumbika vizuri tu maana watu wengi wananitamani ila ndo siwataki maana sitaki ichezewe tu jamani khaa, eti hadi wauza chipsi wanataka, shenzi kabisa.. sasa sisi tumepanga na mume wangu, bado hatujabahatika watoto, ndo tupo kwenye mapambano hayo. nimeolewa ni kama mwaka wa tatu huu, ila umri bado midogo tu maana hata 30 hatujafika, yaani bado vijana, nafikiri mnanielewa.

maisha yalikua poa, sasa bana kelele zilianzia kwa mume wangu huyu huyu, yaani tunapambana kutafuta mtoto yeye anahisi mimi nina shida, kiukweli ngoja nifunguke huku hamna ananijua kwanza, yani kama shoo tunafanya sana tu, tena anamwagia ndani siku zote, yani kwa makadirio binti wa watu mimi lazima nihakikishe huyu bwana kanilala hata mara nne kwa wiki na lazima akojolee ndani, tena kila mkao masikini mimi, alafu eti ananisema kua nina shida..

hii kitu nilienda nayo mpaka huo mwaka wa tatu, sasa nikawa najisemea, yani nimemtengenezea hadi juice za tende lakini mtoto hatupati, sasa nifanyeje, najua muda mwingine ni mambo ya mungu na bado umri unaturuhusu, uzuri mimi nilienda kujipima na nikaambiwa mayai yangu yapo sawa hayana shida, sikutaka kufikiria kumcheat mume wangu sababau nampenda, na nilichukulia tu kwamba ni stress zake tu za kutaka mtoto ingawa najua majukumu yake mengi yanaweza kua yanachagiza mtoto hatupati..

sasa bana, kuna miezi fulani akaja kaka yake, ni wanafanana kama mapacha, akakaa na sisi kama mwezi hivi sababau kuna vitu alikua anapambana navyo mjini hapa dsm. nilikua namuheshimu vizuri tu. siku moja yani sijui ilikuaje ile siku, mume wangu alitoka kwenda kazini na ndugu yake, mimi siku hiyo nilikua namawazo yangu, nikanywa kanywa pombe hiyo siku na nikawa nipo sebuleni, nilivaa tu khanga mtoto wa watu na nguo ya ndani sikuvaa, sikua na wasiwasi sababu mume wangu alisema yeye atarudi jioni na kaka yake angechelewa zaidi, ndo maana nikawa tu nimejiachia na nilitaka nimpe mume wangu sababu hiyo siku ilikua ya hatari.

nikapitiwa na wine zangu kichwani, kumbe bana khanga yenyewe ilivuka kidogo, nikawa nimemwaga radhi yani kiuno choote wazi, yani aibu hii.. nikasikia tu mtu anachezea kifua changu maana kilikua tupu na hili joto la dsm, nikawa kama naota yani mtu ananishika shika, lakini nikawa nahisi ndoto tu, kumbe bana shemeji mtu alivyo wa ajabu ameshavua nguo zake, na yupo kwa juu yangu. nilistuka sana nikaruka na kipigo cha kelele juu akaniziba mdomo, kisha akasema "ukiendelea na kelele ntamwambia dogo unakujaga chumbani usiku tunafanya mapenzi, sasa bora unyamaze nimalize, alafu utakaa kimya siri yetu, kwanza dogo atachelewa kuja kuna sehemu kapita na kingine wacha nikusaidie ushike mimba, mtoto mzuri kabisa nyama nyororo", nilijitahidi kukuruka lakini akailazimisha mpaka ikapita habari yangu ikawa imeisha maana alinizidi nguvu... basi akafanya yake kwa muda na kumalizia ndani, kiukweli nilijisikia vibaya alivyomaliza, nilijiona mchafu kupindukia.

nikaondoka nikaenda chumbani, nikakaa kwa huzuni sana, sikutoka nje, nikajifuta zangu, hata mume alivyorudi alikuta na huzuni sana, nilishindwa mwambia kilichotokea...

basi siku zikaenda lakini nikawa namwambia mume kua aongee na ndugu yake aondoke nyumbani kwani alikua amekaa muda anatunyima uhuru, nilikua naongea nae muundo huo ili asijue kua nataka yule aondoke sababu ya hiyo tabia yake, maana ilianza kua mazoea, yani alikua akiwahi kurudi nyumbani na akinikuta ujue ndo tunafanya mapenzi, na mimi ikaanza kuniaffect, nikaanza kuiona kawaida hata mume siku namkumbushia amuondoe ndugu yake...

sasa baada ya miezi miwili, nilishika mimba, ila kichwani mwangu nilijua tu ni ya nani, sikuwaza sana sababu walikua wakifanana, tena baadae nikaona ni kama sawa tu kaka mtu alivyokuja maana ameninusuru kwenye swala la mtoto..

yule shemeji mtu aliondoka nyumbani, lakini kiukweli mpaka leo bado tunakutana vizuri tu, saizi nina watoto wawili lakini kiukweli wote ni wa huyu kaka mtu. uzuri simuoneshi dharau mume wangu wala, tena saizi tunaishi kwa amani tu, ila tu hii siri siku ikivuja ni balaa, na huyu shemeji mtu ndo ngumu kumuacha maana alishasema ikitokea nitakataa basi atapeleka hii siri kwa familia aivunje, na mimi sitaki hiyo...

duniani kuna mambo sana.. yanii, anyways niishie hapo, kuna vingi sijaviongea lakini wanaume kuweni makini na wake zenu.. sihitaji ushauri wenu najua nimeshazingua lakini bora damu zao zipo kwenye familia yao hii hii, ila kuna siku nitamfanya huyu wifi yangu yani mke wa huyu shemeji nae aliwe na mume wangu, na nimeshaanza huo mchakato, haiwezekani atuzalishe peke yake yeye, yanii nimeipania na sitaki ushauri wa mtu yoyote.. nimewajua za tu basi.. byee

1 comment

Join the discussion anonymously. Create a free account Sign in

hahaa, we bana umenifurahisha, yani kama unanisemea mimi