ID ABD3C4
mimi ni mama wa watoto wawili sasa nina miaka 27, mume wangu ni mtu mkubwa tu na mimi najulikana sana tuko pamoja miaka 8, mimi nafanya biashara zangu na yeye kazi zake kuna wakati anakwama tunakopa popote mradi tusidhalilike umaarufu huu.
hii ndoa ni chungu haivumiliki lakini nimo tu, mimi hakuna dhambi ambayo sijafanya tokea nianze kuwa na huyu mwanaume, umaarufu nimeupata nilivoanza kudate naye mwaka 2019 akanifanyia mpango nikaigiza movie fulani ila haikutoka sana, nikaendelea na maisha, mwaka huo huo nikagundua ana vimambo vya ushirikina, nikamuuliza akawa mkali.
miez miwili badaye nikapata video yake na mwanaume mwenzake tena ni shoga tanzania nzima anajulikana wakiwa kitandani wanazini, nilichanganyikiwa nikaliaaa, akanieleza ukweli kwamba ni masharti kapewa na mganga ili tuwe matajiri, nikajikuta namuelewa tu,basi kesho yake nikamsindikiza kwa mganga.
tumeenda kwa waganga kusafisha nyota huko Tanga, nikapewa shart na mimi ingawa sitolisema ila nililifanya na pesa haijaja, na mimi ukawa ndo mchezo wangu mpya, niliwajua waganga wote kipindi hicho Tanga,kigoma hadi zanzibar.
nilikuwa nalia kwa dhambi ninazofanya ila hakuna namna ninamsapoti my man, Tofaut yangu na huyo dada ni kuwa yeye kavumilia bila kujua anavumilia nini, mimi nilikaa nasubiri pesa, maisha yetu ya nje ni tofaut na ndani, jamani tunateseka sana wanawake na tunatunza siri mimi, hakuna uchafu sijafanya, nilifanya mapenzi hadi na waganga, nilifanya kila aina ya uchafu mnaoelewa nieleweni lakini pesa hatukupata.
huyu baba katembea na watu kibao hadi watu maarufu tunafwata masharti na hela hatupati, hadi leo tunaishi kawaida, nipo nae na ninaendelea kuwa nae kwahiyo wanawake, kila mtu akiamua kufunguka hapa kuna sisi mtatupiga mtatuuwa kwa ujinga wetu, mfano mimi nimetumika sana jamani, kuna muda baba watoto huyu ananiambia nenda kalale na mlinzi tukamilishe idadi, na mimi naenda, naye anaenda anakojuwa kulala na ndugu, kila kitu kichafu tumefanya, familia zina siri bana.
Comments
No comments yet. Be the first to share a thought.